SunoVideo

No Music Video Found

Penzi Lako Mami
Listen on Suno

Penzi Lako Mami

10
Artist:Unknown Artist
Duration:2:56
Tags:Amapiano style
Intro:
Eyoo Wananiita Ndonga Jay 

chorus:
Nilikuita Malikia 
kwa uzuri wako dia 
nikuonapo moyo wangu huridhia
naskia Raha unaponipa penzi 
baby mtoto wakirabai*2

verse:
uzuri ulivyokuenea kama malaika 
 nakosa lakuongea zangu hisia umeziteka
mtoto rangi ya Dubai jinsi unavyo meta meta
Asilia ya kirabai bila kutumia filter za Meta
Mungu anipekipi kikubwa 
Na ashanipa uhai
Akanijalia nawe wahiba
penzi lako nafurahi

bridge:
penzi lako kwangu Mami limefika 
nakupenda jinsi ulivyo umbika
mtoto umeng'aa mfano wa malaika 
penzi lako kwangu Mami limedata 

chorus:
 Nilikuita Malikia 
kwa uzuri wako dia 
nikuonapo moyo wangu huridhia
naskia Raha unaponipa penzi 
baby mtoto wakirabai*2

 Verse:
Vaa ya heshima mavazi 
Mi nataka tutoke 
tukawasalimu wazazi 
zao baraka tuzipokee 
wasio tupenda wahisi kiazi 
mapovu yawatoke 
penzi likoleze nazi 
utamu usishuke 

bridge:

chorus:

Outro:
Nikwa watoto wazuri wazuri wa rabai
Mleji, makanzani na kasidi 
One love
Ni Ndonga Jay